Surat Ash-Shura, aya 32

42:32

وَمِنۡ ءَايَٰتِهِ ٱلۡجَوَارِ فِي ٱلۡبَحۡرِ كَٱلۡأَعۡلَٰمِ ٣٢

Wamin āyātihil-jawāri fil-bahri kal-a'lām

Na katika Ishara zake ni vyombo vinavyo kwenda na kurejea baharini kama vilima. 32

Maelezo ya chini

32 Na katika dalili za uweza wa Mwenyezi Mungu, ni majahazi yaendayo katika bahari kama vilima virefu kwa ukubwa wake.