إِذۡ نُسَوِّيكُم بِرَبِّ ٱلۡعَٰلَمِينَ ٩٨
Idh nusawwīkum birabbil-'ālamīn
Tulipo kufanyeni ni sawa na Mola Mlezi wa walimwengu wote. 98
Maelezo ya chini
98 Pale tulipo kufanyeni nyinyi tulio kuabuduni badala ya Mwenyezi Mungu kuwa ati ni sawa sawa na Mola Mlezi wa walimwengu wote katika kustahiki kuabudiwa, juu ya kuwa hamjiwezi wala hamfai kwa lolote.