فَأَتۡبَعُوهُم مُّشۡرِقِينَ ٦٠
Fa atba'ūhum mushriqīn
Basi wakawafuata lilipo chomoza jua. 60
Maelezo ya chini
60 Firauni na watu wake wakakaza mwendo ili wapate kuwawahi Wana wa Israili. Wakawakuta wakati wa kuchomoza jua.