قَالَ نَعَمۡ وَإِنَّكُمۡ إِذٗا لَّمِنَ ٱلۡمُقَرَّبِينَ ٤٢
Qāla na'am wa innakum idhal laminal-muqarrabīn
Naam! Na hakika mtakuwa katika watu wa mbele. 42
Maelezo ya chini
42 Firauni akasema: Naam, mtapata mnacho kisema. Na juu ya huo ujira mkubwa mtakuwa watu wa karibu kwangu, watu wa cheo na madaraka.