Surat Ash-Shu'ara, aya 25

26:25

قَالَ لِمَنۡ حَوۡلَهُۥٓ أَلَا تَسۡتَمِعُونَ ٢٥

Qāla liman hawlahū alā tastami'ūn

(Firauni) akawaambia walio mzunguka: Hamsikilizi? 25

Maelezo ya chini

25 Firauni kuonyesha mastaajabu kwa wale walio mzunguka kwa kuwa Musa katika jawabu yake alipo mtaja Mola wake Mlezi na akadhukuru Ufalme wake hakuugusia hata kidogo ufalme wa Firauni, alisema: Mwayasikiaje maneno ya Musa?