إِنَّ فِي ذَٰلِكَ لَأٓيَةٗۖ وَمَا كَانَ أَكۡثَرُهُم مُّؤۡمِنِينَ ١٧٤
Inna fī dhālika la'āyatan wamā kāna aktharuhum mu'minīn
Hakika katika hayo ipo Ishara. Na hawakuwa wengi wao wenye kuamini. 174
Maelezo ya chini
174 Hakika adhabu ile iliyo wateremkia watu wale hapana shaka ni hoja yenye kuonyesha utimilivu wa uwezo wa Mwenyezi Mungu. Wala si wengi katika watu wako wenye kusadiki hayo.