Surat Ash-Shu'ara, aya 17

26:17

أَنۡ أَرۡسِلۡ مَعَنَا بَنِيٓ إِسۡرَٰٓءِيلَ ١٧

An arsil ma'anā banī isrā'īl

Waachilie Wana wa Israili wende nasi. 17

Maelezo ya chini

17 Anakwambia Mola Mlezi wa walimwengu wote: Waachilie huru Wana wa Israili, wende nasi.