Surat Ash-Shu'ara, aya 146

26:146

أَتُتۡرَكُونَ فِي مَا هَٰهُنَآ ءَامِنِينَ ١٤٦

Atutrakūna fī mā hāhunā āminīn

Je! Mtaachwa salama usalimina katika haya yaliyopo hapa? 146

Maelezo ya chini

146 Lilio wazuia ni kule kuamini kwao kwamba ati wataselelea katika zile starehe, watasalimika na adhabu, na kutoweka, na mauti,