وَإِنَّ رَبَّكَ لَهُوَ ٱلۡعَزِيزُ ٱلرَّحِيمُ ١٤٠
Wa inna rabbaka lahuwal-'azīzur-rahīm
Na hakika Mola wako Mlezi ndiye Mwenye nguvu Mwenye kurehemu. 140
Maelezo ya chini
140 Na Mola wako Mlezi ndiye Mtenda nguvu wa kuwashinda hao majabari, Mwenye kuwarehemu Waumini.