Surat Ash-Shu'ara, aya 14

26:14

وَلَهُمۡ عَلَيَّ ذَنۢبٞ فَأَخَافُ أَن يَقۡتُلُونِ ١٤

Walahum 'alayya dhambun fa akhāfu an yaqtulūn

Na wao wana kisasi juu yangu, kwa hivyo naogopa wasije kuniuwa. 14

Maelezo ya chini

14 Na watu hawa wana kisasi juu yangu. Kwani mimi nilimuuwa mtu katika wao. Basi nina khofu watakuja niuwa kwa kisasi kabla sijatimiza kazi yangu. Hayo yananizidisha khofu.