قَالَ رَبِّ إِنَّ قَوۡمِي كَذَّبُونِ ١١٧
Qāla rabbi inna qawmī kaddhabūn
Akasema: Mola wangu Mlezi! Hakika watu wangu wamenikanusha. 117
Maelezo ya chini
117 Nuhu kuonyesha kushikilia watu wake kuukadhibisha wito wake, alisema: Ewe Mola wangu Mlezi! Hakika watu wangu wamenikanusha! Kuthibitisha kuwa wanastahiki maapizo yake.