Surat Ash-Shu'ara, aya 116

26:116

قَالُواْ لَئِن لَّمۡ تَنتَهِ يَٰنُوحُ لَتَكُونَنَّ مِنَ ٱلۡمَرۡجُومِينَ ١١٦

Qālū la il lam tantahi yānūhu latakūnanna minal-marjūmīn

Wakasema: Ikiwa huachi, ewe Nuhu, bila ya shaka utapigwa mawe. 116

Maelezo ya chini

116 Wakasema: Ewe Nuhu! Ikiwa hutoacha huu wito wako basi jua yakini tutakupopoa mawe. Yaani wanakusudia kwa haya kumtishia kumuuwa.