وَٱلسَّمَآءِ وَمَا بَنَىٰهَا ٥
Was-samā'i wamā banāhā
Na kwa mbingu na kwa aliye ijenga! 5
Maelezo ya chini
5 Na kwa mbingu na kwa Mweza Mtukufu aliye inyanyua na akaijenga kwa hikima yake.
وَٱلسَّمَآءِ وَمَا بَنَىٰهَا ٥
Was-samā'i wamā banāhā
Na kwa mbingu na kwa aliye ijenga! 5
5 Na kwa mbingu na kwa Mweza Mtukufu aliye inyanyua na akaijenga kwa hikima yake.