Surat As-Sajdah, aya 21

32:21

وَلَنُذِيقَنَّهُم مِّنَ ٱلۡعَذَابِ ٱلۡأَدۡنَىٰ دُونَ ٱلۡعَذَابِ ٱلۡأَكۡبَرِ لَعَلَّهُمۡ يَرۡجِعُونَ ٢١

Walanudhīqannahum minal-'adhābil-adnā dūnal-'adhābil-akbari la'allahum yarji'ūn

Na tutawaonjesha adhabu khafifu kabla ya adhabu kubwa, huenda labda watarejea. 21

Maelezo ya chini

21 Na tunaapa: Hapana shaka tutawaonjesha duniani adhabu duni kabla hawajaifikia hiyo adhabu kubwa kabisa, nayo ni kudumu milele katika Moto. Huenda pengine watakao adhibiwa kwa hiyo adhabu duni watatubia, waache ukafiri wao.