كَأَنَّهُنَّ بَيۡضٞ مَّكۡنُونٞ ٤٩
Ka annahunna baydum maknūn
Hao wanawake kama mayai yaliyo hifadhika. 49
Maelezo ya chini
49 Hao wanawake wenye macho ya staha ni kama mayai ya mbuni, yaliyo hifadhiwa na mbawa zake. Basi hayaguswi na mikono, wala hayapati vumbi.