سُبۡحَٰنَ ٱللَّهِ عَمَّا يَصِفُونَ ١٥٩
Subhānallāhi 'ammā yasifūn
Subhana 'Llah Ametakasika Mwenyezi Mungu na hayo wanayo msingizia. 159
Maelezo ya chini
159 Mwenyezi Mungu Mtukufu ametakasika na hizo sifa za kuemewa na za upungufu wanazo mzulia kuwa anazo.