Surat As-Saffat, aya 134

37:134

إِذۡ نَجَّيۡنَٰهُ وَأَهۡلَهُۥٓ أَجۡمَعِينَ ١٣٤

Idh najjaynāhu wa ahlahū ajma'īn

Tulipo mwokoa yeye na ahali zake wote,. 134

Maelezo ya chini

134 Kwa hakika Sisi tumemwokoa yeye na ahali zake wote kutokana na adhabu iliyo wasibu watu wake.