وَإِنَّ لُوطٗا لَّمِنَ ٱلۡمُرۡسَلِينَ ١٣٣
Wa inna lūtal laminal-mursalīn
Na hakika Lut'i bila ya shaka ni miongoni mwa Mitume. 133
Maelezo ya chini
133 Na hakika Lut'i ni katika Mitume tulio watuma ili afikishe Ujumbe wetu kwa watu.