فَلَمَّآ أَسۡلَمَا وَتَلَّهُۥ لِلۡجَبِينِ ١٠٣
Falammā aslamā watallahū lil-jabīn
Basi wote wawili walipo jisalimisha, na akamlaza juu ya kipaji. 103
Maelezo ya chini
103 Yule baba na mwanawe walipo iridhia hukumu ya Mwenyezi Mungu, na akamweka juu ya fungu la mchanga na akamlaza juu yake, kipaji chake kikawa juu ya ardhi, akawa tayari kumchinja.