وَمَن يَفۡعَلۡ ذَٰلِكَ عُدۡوَٰنٗا وَظُلۡمٗا فَسَوۡفَ نُصۡلِيهِ نَارٗاۚ وَكَانَ ذَٰلِكَ عَلَى ٱللَّهِ يَسِيرًا ٣٠
Waman yaf'al dhālika 'udwānan wazulman fasawfa nuslīhi nāran wakāna dhālika 'alallāhi yasīrā
Na mwenye kutenda hayo kwa uadui na udhaalimu, basi huyo tutamwingiza Motoni. Na hilo ni jepesi kwa Mwenyezi Mungu. 30
Maelezo ya chini
30 Na mwenye kuyatenda aliyo yaharimisha Mwenyezi Mungu kwa uvamizi na kupindukia haki yake, basi tutamtia Motoni ateketee huko. Na hayo ni madogo na mepesi kabisa kwa Mwenyezi Mungu.