إِنَّ ٱلَّذِينَ كَفَرُواْ وَصَدُّواْ عَن سَبِيلِ ٱللَّهِ قَدۡ ضَلُّواْ ضَلَٰلَۢا بَعِيدًا ١٦٧
Innal-ladhīna kafarū wasaddū 'an sabīlillāhi qad dallū dalālā ba'īdā
Hakika walio kufuru na wakazuilia Njia ya Mwenyezi Mungu, wamekwisha potelea mbali. 167
Maelezo ya chini
167 Hakika wale ambao wamekufuru wasikusadiki wewe, na wakawazuia watu wasiingie katika Dini ya Mwenyezi Mungu, bila ya shaka wamekuwa mbali mno na Haki.