Surat An-Nisa, aya 138

4:138

بَشِّرِ ٱلۡمُنَٰفِقِينَ بِأَنَّ لَهُمۡ عَذَابًا أَلِيمًا ١٣٨

Basshiril-munāfiqīna bi anna lahum 'adhāban alīmā

Wabashirie wanaafiki kwamba watapata adhabu chungu,. 138

Maelezo ya chini

138 Ewe Mtume Mtukufu! Waonye wanaafiki kwamba Siku ya Kiyama watapata adhabu chungu yenye kuumiza.