يَعِدُهُمۡ وَيُمَنِّيهِمۡۖ وَمَا يَعِدُهُمُ ٱلشَّيۡطَٰنُ إِلَّا غُرُورًا ١٢٠
Ya'iduhum wayumannīhim wamā ya'iduhumush-shaytānu illā ghurūrā
Anawaahidi na anawatia tamaa. Na Shet'ani hawaahidi ila udanganyifu. 120
Maelezo ya chini
120 Shetani huwapambia shari, wakaiona nzuri, na huwaahidi manufaa watayo pata pindi wakitenda kitendo fulani, na huwatia katika nafsi zao matumaini ya kuyatumai. Na hapana lolote analo waahidi na analo wapambia ila ni udanganyifu mtupu.