أُوْلَٰٓئِكَ مَأۡوَىٰهُمۡ جَهَنَّمُ وَلَا يَجِدُونَ عَنۡهَا مَحِيصٗا ١٢١
Ulā'ika ma'wāhum jahannamu walā yajidūna 'anhā mahīsā
Hao makao yao ni Jahannamu, na wala hawapati makimbilio kutoka humo. 121
Maelezo ya chini
121 Hakika hao walio zipoteza akili zao na wakafuata wasiwasi wa Shetani anao watia katika nafsi zao, mwisho wao ni kuendea Jahannamu, wala hawatapata njia ya kutoka huko.