هَٰٓأَنتُمۡ هَٰٓؤُلَآءِ جَٰدَلۡتُمۡ عَنۡهُمۡ فِي ٱلۡحَيَوٰةِ ٱلدُّنۡيَا فَمَن يُجَٰدِلُ ٱللَّهَ عَنۡهُمۡ يَوۡمَ ٱلۡقِيَٰمَةِ أَم مَّن يَكُونُ عَلَيۡهِمۡ وَكِيلٗا ١٠٩
Hā'antum hā'ulā'i jādaltum 'anhum fil-hayawātid-dunyā faman yujādilullāha 'anhum yawmal-qiyāmati am man yakūnu 'alayhim wakīlā
Hivyo nyinyi mmewatetea hawa katika uhai huu wa duniani. Basi nani atakaye watetea kwa Mwenyezi Mungu Siku ya Kiyama? Au ni nani atakuwa wakili wao wa kumtegemea?. 109
Maelezo ya chini
109 Ikiwa nyinyi mnawatetea hao wakosa wasipate adhabu ya duniani, basi hatopatikana wa kuwatetea Siku ya Kiyama mbele ya Mwenyezi Mungu na kukubali kuwa ni mlinzi wao wa kuwasaidia.