إِنَّمَآ أَنتَ مُنذِرُ مَن يَخۡشَىٰهَا ٤٥
Innamā anta mundhiru man yakhshāhā
Kwa hakika wewe ni mwonyaji tu kwa mwenye kuikhofu. 45
Maelezo ya chini
45 Kwani waajibu wako ni kuwaonya wanao khofu si kuwatangazia wakati wake.