Surat An-Nazi'at, aya 26

79:26

إِنَّ فِي ذَٰلِكَ لَعِبۡرَةٗ لِّمَن يَخۡشَىٰٓ ٢٦

Inna fī dhālika la'ibratal liman yakhshā

Kwa hakika katika haya yapo mazingatio kwa wanao ogopa. 26

Maelezo ya chini

26 Hakika katika hadithi hiyo yapo mawaidha kwa mwenye kumkhofu Mwenyezi Mungu.