قَالُواْ تِلۡكَ إِذٗا كَرَّةٌ خَاسِرَةٞ ١٢
Qālū tilka idhan karratun khāsirah
Wanasema: Basi marejeo hayo ni yenye khasara! 12
Maelezo ya chini
12 Wanasema, kwa kukanya na kejeli: Kurejea huko kama kukitokea basi ni marejeo ya khasara, na sisi si watu wa kukhasiri.