Surat An-Nazi'at, aya 10

79:10

يَقُولُونَ أَءِنَّا لَمَرۡدُودُونَ فِي ٱلۡحَافِرَةِ ١٠

Yaqūlūna a'innā lamardūdūna fil-hāfirah

Sasa wanasema: Ati kweli tutarudishwa kwenye hali ya kwanza? 10

Maelezo ya chini

10 Watu hawa husema duniani kwa kukanya kufufuliwa: Ati tutarudishwa sisi baada ya kwisha kufa, tuumbwe tena kama tulivyo kuwa?