Surat An-Naml, aya 77

27:77

وَإِنَّهُۥ لَهُدٗى وَرَحۡمَةٞ لِّلۡمُؤۡمِنِينَ ٧٧

Wa innahū lahudan warahmatul lil-mu'minīn

Nayo hakika ni Uwongofu na Rehema kwa Waumini. 77

Maelezo ya chini

77 Hakika Kitabu hichi ni Uwongofu wa kuokoa watu wasipotee, na ni Rehema ya kuwakinga na adhabu wote wenye kukiamini.