قُلۡ سِيرُواْ فِي ٱلۡأَرۡضِ فَٱنظُرُواْ كَيۡفَ كَانَ عَٰقِبَةُ ٱلۡمُجۡرِمِينَ ٦٩
Qul sīrū fil-ardi fanzurū kayfa kāna 'āqibatul-mujrimīn
Sema: Nendeni katika ardhi, na tazameni ulikuwaje mwisho wa wakosefu. 69
Maelezo ya chini
69 Ewe Mtume! Waambie: Tembeeni duniani, na mtazame mabaki ya yaliyo wapata walio kadhibisha, nayo ni adhabu ya Mwenyezi Mungu. Huenda labda mkayazingatia haya, na mkaikhofu adhabu ya Akhera.