Surat An-Naml, aya 54

27:54

وَلُوطًا إِذۡ قَالَ لِقَوۡمِهِۦٓ أَتَأۡتُونَ ٱلۡفَٰحِشَةَ وَأَنتُمۡ تُبۡصِرُونَ ٥٤

Walūtan idh qāla liqawmihī ata'tūnal-fāhishata wa antum tubsirūn

Na Luut'i alipo waambia watu wake: Je! Mnafanya uchafu nanyi mnaona? 54

Maelezo ya chini

54 Ewe Nabii! Mtaje Luut'i na khabari zake pamoja na kaumu ya watendao uchafu, pale alipo waambia: Je! Mnafanya dhambi hizi ambazo zimepita hadi ya uchafu na kinyume na maumbile, na hali nyinyi mnaona na mnaangalia uovu wa haya mliyo yashikilia?