Surat An-Naml, aya 53

27:53

وَأَنجَيۡنَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ وَكَانُواْ يَتَّقُونَ ٥٣

Wa anjaynal-ladhīna āmanū wakānū yattaqūn

Na tukawaokoa wale walio amini na walio kuwa wanamchamngu. 53

Maelezo ya chini

53 Na Sisi tukakiokoa kikundi kilicho muamini Saleh kutokana na hilaki hii, na wakawa wanao gopa kuziacha amri zake.