Surat An-Naml, aya 31

27:31

أَلَّا تَعۡلُواْ عَلَيَّ وَأۡتُونِي مُسۡلِمِينَ ٣١

Allā ta'lū 'alayya wa tūnī muslimīn

Msinifanyie jeuri, na fikeni kwangu nanyi mmekwisha kuwa wenye kusalimu amri. 31

Maelezo ya chini

31 Msifanye kiburi juu yangu, na nijieni nanyi mmet'ii na wanyenyekevu.