Surat An-Najm, aya 59

53:59

أَفَمِنۡ هَٰذَا ٱلۡحَدِيثِ تَعۡجَبُونَ ٥٩

Afamin hādhal-hadīthi ta'jabūn

Je! Mnayastaajabia maneno haya? 59

Maelezo ya chini

59 Hivyo nyinyi mnapinga kila la kweli? Na mnaistaajabia kwa kuikaataa hii Qur'ani?