Surat An-Najm, aya 58

53:58

لَيۡسَ لَهَا مِن دُونِ ٱللَّهِ كَاشِفَةٌ ٥٨

Laysa lahā min dūnillāhi kāshifah

Hapana wa kukifichua isipo kuwa Mwenyezi Mungu. 58

Maelezo ya chini

58 Na wala hapana wa kuujuulisha wakati kitapo tokea ila mwenyewe Mwenyezi Mungu.