Surat An-Najm, aya 40

53:40

وَأَنَّ سَعۡيَهُۥ سَوۡفَ يُرَىٰ ٤٠

Wa anna sa'yahū sawfa yurā

Na kwamba vitendo vyake vitaonekana? 40

Maelezo ya chini

40 Na kwamba vitendo vyake vitakuja tangazwa, na ataviona Siku ya Kiyama, iwe ni kumtukuza mtenda mema, na kumkebehi mtenda maovu.