إِنۡ هُوَ إِلَّا وَحۡيٞ يُوحَىٰ ٤
In huwa illā wahyun yūhā
Hayakuwa haya ila ni ufunuo ulio funuliwa; . 4
Maelezo ya chini
4 Hii Qur'ani anayo itamka si chochote ila ni Wahyi (Ufunuo) ulio toka kwa Mwenyezi Mungu anamfunulia yeye.