Surat An-Najm, aya 35

53:35

أَعِندَهُۥ عِلۡمُ ٱلۡغَيۡبِ فَهُوَ يَرَىٰٓ ٣٥

A'indahū 'ilmul-ghaybi fahuwa yarā

Je! Anayo huyo ilimu ya ghaibu, basi ndio anaona? 35

Maelezo ya chini

35 Je! Huyo anayo ilimu ya kujua mambo ya ghaibu, basi kwa hivyo ndio anayajua yanayo mpelekea kuiacha kuifuata Haki, na akafanya ubakhili wa mali?