Surat An-Najm, aya 34

53:34

وَأَعۡطَىٰ قَلِيلٗا وَأَكۡدَىٰٓ ٣٤

Wa a'tā qalīlan wa akdā

Na akatoa kidogo, kisha akajizuia? 34

Maelezo ya chini

34 Na akatoa kidogo katika mali, na khalafu akakata kabisa kutoa?