Surat An-Najm, aya 25

53:25

فَلِلَّهِ ٱلۡأٓخِرَةُ وَٱلۡأُولَىٰ ٢٥

Falillāhil-ākhiratu wal-ūlā

Mwenyezi Mungu tu ndiye Mwenye dunia na Akhera. 25

Maelezo ya chini

25 Kwani mambo yote, ya duniani na Akhera, ni ya Mwenyezi Mungu peke yake.