Surat An-Najm, aya 24

53:24

أَمۡ لِلۡإِنسَٰنِ مَا تَمَنَّىٰ ٢٤

Am lil-insāni mā tamannā

Ati mtu anakipata kila anacho kitamani? 24

Maelezo ya chini

24 Mwanaadamu hapati kila anacho kitamani, ya kupata uombezi wa haya masanamu au mengineyo anayo yatamani kwa nafsi yake.