خَلَقَ ٱلۡإِنسَٰنَ مِن نُّطۡفَةٖ فَإِذَا هُوَ خَصِيمٞ مُّبِينٞ ٤
Khalaqal-insāna min nutfatin fa idhā huwa khasīmum mubīn
Amemuumba mtu kwa tone la manii. Naye mara amekuwa mshindani dhaahiri. 4
Maelezo ya chini
4 Amemuumba kila mmoja katika wanaadamu kutokana na maji maji yasiyo shikamana, nayo ni manii. Kutokana na hayo ndio anakuwa mtu mwenye nguvu za kujitetea nafsi yake, mshindani na makhasimu zake, mwenye kuweka wazi hoja zake.