أَلَمۡ نَجۡعَلِ ٱلۡأَرۡضَ مِهَٰدٗا ٦
Alam naj'alil-arda mihādā
kaKwani hatukuifanya ardhi ma tandiko? 6
Maelezo ya chini
6 Kwani wao hawaoni Ishara za uweza wetu kwamba Sisi tumeifanya ardhi imetandikwa upatikane utulivu juu yake na iwezekane kutembea juu yake?