Surat An-Naba, aya 4

78:4

كَلَّا سَيَعۡلَمُونَ ٤

Kallā saya'lamūn

La! Karibu watakuja jua. 4

Maelezo ya chini

4 Kuwazuia kuulizana huko wanaambiwa kuwa watakuja ujua ukweli wa mambo hapo watapo ona kufufuliwa kumetokea khasa.