جَزَآءٗ مِّن رَّبِّكَ عَطَآءً حِسَابٗا ٣٦
Jazā'am mir rabbika 'atā'an hisābā
Malipo kutoka kwa Mola wako Mlezi, kipawa cha kutosha. 36
Maelezo ya chini
36 Ni malipo kutokana na Mola wako Mlezi, kwa fadhila yake na ihsani ya kutosha.