لَوۡ نَشَآءُ جَعَلۡنَٰهُ أُجَاجٗا فَلَوۡلَا تَشۡكُرُونَ ٧٠
Law nashā'u ja'alnāhu ujājan falawlā tashkurūn
Tungeli penda tungeli yafanya ya chumvi. Basi mbona hamshukuru? 70
Maelezo ya chini
70 Lau tungeli taka tungeli yafanya hayo maji yakawa ya chumvi yasiyo nyweka. Basi mbona hamumshukuru Mwenyezi Mungu aliye yajaalia matamu yenye kunyweka?