Surat Al-Waqi'ah, aya 65

56:65

لَوۡ نَشَآءُ لَجَعَلۡنَٰهُ حُطَٰمٗا فَظَلۡتُمۡ تَفَكَّهُونَ ٦٥

Law nashā'u laja'alnāhu hutāman fazaltum tafakkahūn

Tungeli taka tungeli yafanya yakawa mapepe, mkabaki mnastaajabu, 65

Maelezo ya chini

65 Tungeli taka tungeli ifanya mimea hiyo iwe mabua na mapepe yaliyo katika katika kabla haijapevuka, mkawa mkistaajabu tu kwa uovu ulio isibu,