Surat Al-Waqi'ah, aya 64

56:64

ءَأَنتُمۡ تَزۡرَعُونَهُۥٓ أَمۡ نَحۡنُ ٱلزَّٰرِعُونَ ٦٤

A'antum tazra'ūnahū am nahnuz-zāri'ūn

Je! Ni nyinyi mnayo yaotesha au ni Sisi ndio wenye kuotesha? 64

Maelezo ya chini

64 Ni nyinyi mnao ifanya imee au ni Sisi peke yetu ndio tunaifanya imee?