Surat Al-Waqi'ah, aya 57

56:57

نَحۡنُ خَلَقۡنَٰكُمۡ فَلَوۡلَا تُصَدِّقُونَ ٥٧

Nahnu khalaqnākum falawlā tusaddiqūn

Sisi tumekuumbeni; basi hamsadiki? 57

Maelezo ya chini

57 Sisi tulianza kukuumbeni mlipo kuwa si chochote, basi hebu hamkiri uweza wetu wa kukurejesheni tena baada ya kukufufueni?